Prediction Marketplace
Gundua ubashiri za tipsters mbalimbali, linganisha taarifa na uone historia yao iliyohakikiwa na mfumo.
Sports Intelligence • Predictions • Community
MkekaZone ni platform inayokuwezesha kufuatilia mechi, kuchambua takwimu, kugundua ubashiri kutoka kwa tipsters na kushiriki kwenye jamii ya michezo — yote sehemu moja.
Bure kujiandikisha • 18+ • Ubashiri hauhakikishwi ushindi
MkekaZoneJuma Analysis
ROOKIE · 62% • mikeka 40+ zilizohakikiwa
Pro Picks TZ
PRO · 68% • mikeka 40+ zilizohakikiwa
Elite Insider
ELITE · 79% • mikeka 40+ zilizohakikiwa
Mkeka Guru
PRO · 71% • mikeka 40+ zilizohakikiwa
MkekaZoneMECHI ZA LEO
Ubashiri bora wa siku • Win rate halisi
Yanga vs Simba
NBC Premier League
Arsenal vs Chelsea
Premier League
Bayern vs Dortmund
Bundesliga
MkekaZoneMAPATO (mwezi huu)
TZS 184,000
Yanga vs Simba — Home Win
Imeuzwa ×23 · 1,500
Arsenal U2.5 — Over
Imeuzwa ×11 · 1,000
Data halisi ya ESPN
Rekodi zinazothibitishwa
Malipo salama (ZenoPay)
Android app
Features
Zana za kuchambua mechi, soko la ubashiri, jamii na zana za biashara kwa tipsters — zote kwenye app moja.
Gundua ubashiri za tipsters mbalimbali, linganisha taarifa na uone historia yao iliyohakikiwa na mfumo.
Fixtures, form, head-to-head, takwimu na matokeo ya mechi — data halisi kutoka ESPN.
Profaili zenye rekodi za ubashiri uliothibitishwa na Settlement Engine — si madai ya mdomo.
Uchambuzi wa data na insights zinazosaidia kuelewa mechi kabla ya kuanza.
Fuatilia tipsters wapendwa, pata updates za michezo na shiriki kwenye jamii.
Tengeneza ubashiri, dhibiti listings, mauzo na mapato yako kupitia dashibodi moja.
Taarifa za mechi, ubashiri na matokeo — moja kwa moja kwenye app.
Fuatilia tipster bora kwa Wiki au Mwezi — bila kununua kila ubashiri. Hakuna auto-renewal.
Elimu kuhusu odds, probability, markets na responsible gaming.
Jinsi Inavyofanya Kazi
Pakua MkekaZone kwenye simu yako ya Android na fungua akaunti kwa namba ya simu.
Tafuta mechi, takwimu, ubashiri na profaili za tipsters wenye rekodi halisi.
Chagua ubashiri unaokufaa, angalia maelezo yake na uifungue kupitia wallet ya ndani.
Fuatilia tipsters, matokeo halisi ya mikeka na endelea kujifunza kwenye jamii.
Kwa Tipsters
Tengeneza ubashiri zako, jenga profile ya tipster, fuatilia performance na simamia mauzo kupitia dashboard moja — Seller Studio.
Kamisheni: MkekaZone inachukua 20% ya kila mauzo — wewe unabaki na 80%, inalipwa kwenye wallet yako.
Usajili wa mauzaji na huduma za malipo hutolewa kulingana na uthibitisho na idhini zinazohitajika.
Win rate inahesabiwa KIOTOMATIKI kutoka mikeka iliyohakikiwa na Settlement Engine (matokeo ya ESPN). Tipster hana sauti kwenye hesabu hii — bei inaendana na rekodi halisi.
Mwanzo
Tipster mpya au win rate chini ya 60%
Kati
Win rate 60–75% (mikeka iliyohakikiwa)
Juu
Win rate zaidi ya 75% + beji ya Elite
App Preview
Muundo halisi wa MkekaZone — screenshots za kina zitafuata hivi karibuni.
MkekaZoneMECHI ZA LEO
Ubashiri bora wa siku • Win rate halisi
Yanga vs Simba
NBC Premier League
Arsenal vs Chelsea
Premier League
Bayern vs Dortmund
Bundesliga
MkekaZoneJuma Analysis
ROOKIE · 62% • mikeka 40+ zilizohakikiwa
Pro Picks TZ
PRO · 68% • mikeka 40+ zilizohakikiwa
Elite Insider
ELITE · 79% • mikeka 40+ zilizohakikiwa
Mkeka Guru
PRO · 71% • mikeka 40+ zilizohakikiwa
MkekaZoneMan City vs Liverpool
Sat 18:00 • Etihad • H2H 3-1-2
MkekaZoneMAPATO (mwezi huu)
TZS 184,000
Yanga vs Simba — Home Win
Imeuzwa ×23 · 1,500
Arsenal U2.5 — Over
Imeuzwa ×11 · 1,000
Android APK
Toleo la kwanza la Android linaandaliwa. Kitufe kitawashwa rasmi hapa — version, size na SHA-256 vitaonekana wazi.

Your Sports. Your Zone.
⏳ Pending release — APK haijapakiwa rasmi
Kitufe cha kupakua kitawashwa baada ya APK rasmi kupakiwa na kuthibitishwa. Chanzo pekee cha APK ni ukurasa huu.
Uadilifu wa faili: kila toleo lina SHA-256 checksum inayoonyeshwa hapa kabla ya kupakua. Kama checksum hailingani, USIINSTALL — tujulishe mara moja.
iPhone? Kwa sasa tumia MkekaZone kupitia browser (Safari). App ya iOS — Coming Soon.
Kwa Nini MkekaZone
Fixtures, matokeo na takwimu zinatokana na ESPN API — chanzo kinachojulikana duniani.
Matokeo ya ubashiri yanafungwa kiotomatiki na mfumo — tipster hawezi kujidanganya.
Wallet ya ndani + ZenoPay (M-Pesa, Airtel Money, Mixx by Yas). Hakuna auto-renewal ya VIP.
Sio tu kununua ubashiri — jifunze odds, probability na uwajibikaji kwenye Learning Hub.
Featured Tipsters
Tunajenga ukumbi wa ushujaa — hapa tutaonyesha profaili za tipsters waliothibitishwa pamoja na rekodi zao za HALISI (si takwimu za kuajabu ajabu). Jiunge kuwa miongoni mwa wa kwanza.
Habari & Updates
Mikeka ya ubashiri sasa inafungwa kiotomatiki na matokeo halisi ya mechi (ESPN API). Tipster hana sauti — win rate unayoiona kwenye profaili ni ya kweli.
Tipster hawezi kujipangia bei yoyote: Rookie hadi TZS 1,000, Pro hadi 2,500, Elite hadi 5,000+. Ukomo unaotokana na win rate iliyohakikiwa — wlinzi wa mnunuzi.
Toleo la kwanza la APK linaandaliwa. Kitufe cha kupakua kitawashwa rasmi hapa ukishatolewa na kuthibitishwa (version, size na SHA-256 zitaonekana wazi).
Sauti za Watumiaji
Hapa tutaandika maoni HALISI ya watumiaji baada ya launch — sio maoni ya kuajabu ajabu yaliyobuniwa. Ukitaka kuwa mmoja wa wa kwanza kutoa maoni, pakua app na ujaribu.
FAQ
Wasiliana
Maswali ya akaunti, malipo, ushirikiano au udhibiti — tujibu ndani ya saa 24.
Tutakujulisha APK inapotolewa na habari kubwa.
18+ • Ubashiri hautabiri matokeo. Cheza kwa uwajibikaji.